SOCIAL CLUB

Ni klabu ya vijana wanaojitolea kufanya kazi za kijamii: * Kuelimisha jamii kuhusu magonjwa ya kuambukiza * Utunzaji wa mazingira kama vile upandaji wa miti, utunzaji wa vianzo vya maji nk * Ujasiriamali nk