Carpentry

Wood is one of mankind's oldest building materials.
The ability to shape wood improved with technological advances from the stone age to the bronze age to the iron age.
In our centre's carpentry we teach young people to work with wood.

Carpentry requires training which involves both acquiring knowledge and physical practice. In formal training a carpenter begins as an apprentice to became a journeyman and with enough experience and competency becomes a master carpenter.
This is the main MOTTO in our Centre and our goal is to give our apprentices a skill which will help them to become masters of this wonderfül handwork skill.

There are two main divisions of training:
1. Construction carpentry - this goes with buildings (roofing, windows , door, etc)
2. Furniture marking.

Our apprenticeship is based on the VETA programm.

Mbao ni moja ya kifaa kilichotumika kwa ujenzi miaka na miaka.
Uwezo wa kuumba kitu kutokana na mbao uliongezeka na kuboresha kiufundi kutoka zamani wa enzi mbalimbali.
Katia kituo chetu cha Useremala tunawafundisha vijana kufanya kazi kwa kutumia mbao.

Useremala unahitaji mafunzo ambayo yanahusha maarifa pamoja na vitendo.
Katika mafunzo ya kawaida seremala huanza kwa kuwa mkurufunzi katika safari ya kuelekea kuwa mwenye ustadi na uhakika wa kazi yake.
Hili ndilo lengo letu kwenye kituo chetu - kuwapatia wakurufunzi wetu ustadi ambao utawafanya kuwa mafundi stadi katika nyanja hii.

Kuna sehemu mbili za mafunzo yetu:
1. Useremala katika Ujenzi - Hili lahusu majengo (upauaji, kutengeneza madirisha, milango nk.)
2. Utengezaji wa fanicha.

Mafunzo yetu yanaongozwa na silabasi ya VETA.